Wanawake Wanaojiona Warembo Sana Uishia Kusimamia Harusi za Wenzao Wengi Hawaolewi



Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu. 
Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo,sababu kuu zinazofanya wasiolewe ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng'ambo anataka mwanaume tajiri awe mtanashati sana. 
Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya hanasa,wanaume wengi ushtuka na kuishia ku hit na kusepa. 
Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na tamaa.



Comments

Popular posts from this blog

10 Relationship Goals That Will Make Your Love Stronger

Katy Perry flashes her toned abs as she poses in a bright orange crop top with a matching skirt

Rebecca Klopper Video Viral On Twitter : Know everything about the viral video