Maalumu kwa Wadau wa app ya Utamu Kitandani

Mpendwa Mtumiaji wa app yetu pendwa ya Utamu Kitandani, Sasa unaweza kusoma post ndani ya app yetu katika Lugha mbili
              1. English/Kiingereza
               2. Kiswahili

  Ili kuelewa namna ya kuzisoma hizo post katika Lugha zote naomba twende pamoja katika makala hii hasa kwa mnaopenda kusoma kwa kiswahili
      Unapoifungua app yako kwa mara ya kwanza kabisa baada ya ku-install kutoka play store itakuwa katika muonekano na mpangilio huu


         Hapa itakuwa iko katika mfumo wa English/Kiingereza ili kubadili kuwa kiswahili angalia picha hii hapa chini

       Utakwenda kwenye kitufe cha duara/ sphere ikibofya hapo itakuletea machaguo kama inavyoonekana hapa chini 

       Ukiangalia hapo ni kuwa Lugha ya Makala(post) ni English ila kubadili kwenda Kiswahili utachagua Swahili na baada ya kufanya hivo app itaanza kuji- scan na kuhama kutoka mfumo wa English kwenda Kiswahili.

     Pia ukitaka kurudi kwenye English unafuata hatua hizo hizo tajwa hapo mwanzo ila kwa wakati huo utakuwa unatoa ( Kiswahili kwenda English)

Comments

Popular posts from this blog

10 Relationship Goals That Will Make Your Love Stronger

5 Reasons Women Reject You Whenever You Ask Them Out

Katy Perry flashes her toned abs as she poses in a bright orange crop top with a matching skirt