Posts

Showing posts from November, 2023

Signs she just wants a fling and not a relationship with you

Image
Dear men, sometimes, we just want a fling with you. We don't want all the hustles that come with being in a relationship but rather, just good strokes and that's it. Ladies can play that game too. Dating can be too much work especially when you're not trying to catch feelings and get heartbroken. It's easier when you can just have a constant guy that comes over for sex and there's no connection beyond that whatsoever. You don't want to meet his friends, his family, do stuff together, zilch. You're there for sex and that's about it. Sometimes, we don't tell the guy because if he knows he's being used, chances are, he will do a disappearing act. I know, it's unfair, but no one said that life would be fair. Unfortunately, it is what it is. Gents, if you feel like you're being used for dick, you probably are and here are signs she just wants a fling and not a real relationship with you. 1. She gets touchy feely a lot. Every time she meets you...

Mwanaume Usikurupuke Sio Kila Mwanamke Anafaa Kuwa Mama

Image
Kupata mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata mwanamke atakaekubali kuacha starehe zake zote na kukulelea watoto ipasavyo sio kitu rahisi.

Tofauti 8 Kati ya Wasichana na Wanawake...!!!

Image
1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao. 3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu. 4. Wasichana hufikilia kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo. 5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi). 6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo. 7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa. 8. Msichana "anajifunza" ila Mwanamke "anajua"

Reasons why keeping secrets can destroy a romantic relationship

Image
Some people believe they need to keep secrets or lie to survive in a relationship. They lack confidence in their ability to confront unpleasant topics, such as money troubles, or issues related to past or present errors in judgment or mistakes. However, finding healthy ways to honestly express yourself to your partner is the best way to build a trusting relationship that endures the test of time. You have to consider confessing to your partner, because somehow keeping a secret is the same thing as betrayal. If you feel guilty or uneasy about omission information to them, it’s a red flag that you need to do so. Below are 4 reason why keeping secrets can destroy a relationship: 1. Keeping secrets is the same thing as being dishonest Honesty is always the best policy and most of us have a moral code which tells us that keeping secrets is akin to lying. For most of us, being dishonest is only acceptable when we are in dire straits – like trying to save someone’s life. Yet s...

Zingatia Haya unapokutana kwa mara ya kwanza na mpenzi wako!

Image
Ni matumaini yangu kwamba muwazima bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku. Mada ya leo hii ni maalum kwa wale wanaoanzisha uhusiano mpya au wale wanaoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa mara ya kwanza. Yawezekana ukawa ‘umemtokea’ mtu na kumueleza kwamba unampenda na kwa bahati nzuri jibu likawa zuri kwa yeye kukukubalia ombi lako. Kuna ile siku ya kwanza ambayo mnapanga mkutane ili muweze kuzungumza mambo kadha wa kadha kuhusu uhusiano wenu. Siku ambayo mnakutana kwa mara ya kwanza ni siku muhimu sana kwenu, ni siku ambayo kila mmoja anatakiwa kuwa makini. Achilia mbali hayo, yapo mambo unayotakiwa kuyazingatia ili kuifanya siku hiyo iweze kuwa ya kihistoria. Haya ndiyo ambayo leo hii nimedhamiria kuwaandikia angalau kwa ufupi nikiamini kwamba, yatakuwa ni yenye manufaa kwenu. Mazungumzo yenu Huyu mpenzi wako ndiyo mnakutana kwa mara ya kwanza, jitahidi sana mazungumzo yako yawe ya kumfanya ahisi amempata mtu sahihi katika maisha yake. Kuwa makini na kila...

Traits Men look for in a Girlfriend Before Committing

Image
1. You Have Killer Sense of humor. We know how important it is to women for the man in their life to have a generally good sense of humor, but I’d argue it’s equally as important in the other direction as well. Particularly if a man has a great sense of humor, it will be lost on a woman who is too dry or stiff. Furthermore, it could cause tension if he is often funny and joking, and she is always serious and becomes annoyed with his lighter personality. 2. You Value Your independence. A girl who can hold her own has her remarkable history and can deal with things without the help of a man who will always trump codependent ones. Sadly, a lot of guys can’t tell codependent girls from independent but vulnerable. 3. You’re Presentable  This is why Courtney Love is still single. Deep down inside, guys want someone they can take home to mom and also show off in public. 4. You’re “Ride or Die” Loyal.  In other words, guys don’t want to deal with a girl who they feel will “trade up” t...

Unagombana sana na mpenzi WAKO?

Image
U HUSIANO   wa kimapenzi ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu! Mtu yeyote ambaye amekamilika, anahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi. Hakuna anayeweza kuvumilia maisha ya upweke, sote tunahitaji kupenda na kila mtu anahitaji kupendwa.   Hata hivyo, siyo mara zote mapenzi yanakwenda kama wengi tunavyotaka yawe. Unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, unakuwa na matarajio makubwa ya kuishi maisha ya raha mustarehe na umpendaye, kupeana mapenzi motomoto na kujenga familia bora. Hata hivyo, baada ya muda mfupi, mambo huanza kwenda mrama, mapenzi hupungua, ugomvi huanza kuibuka na penzi huingiwa na shubiri na kusababisha hisia za huzuni kali ndani ya moyo.Wapo watu wengi wanaoteseka katika uhusiano wa kimapenzi, furaha kwao imetoweka kabisa, wengine wanafikia hatua ya kuyachukia mapenzi na kujiapiza kwamba hawatapenda tena. Kama na wewe ni miongoni mwa watu ambao wapo katika aina hii ya uhusiano wa kimapenzi, unatakiwa kuelewa jambo moja la msingi sana ambalo we...

Nakua Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...Mpaka Naokota Mawe Kama Chizi

Image
Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia. 1.Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafir wa kwetu ni shida,mnabana had kupumua shida.Matokeo yake sipend watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafir wa jumuiya! 2.Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap,hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo,au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe,weka sehem flan then piga picha. Hii inanifanya ntaokota makopo il nipige picha ili aamini, JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA

Relationship Advice Every Young Couple Should Know

Image
1. Jealousy is totally unnecessary. When you find out your Partner has a crush on someone else, just let them be. There’s no need for you to get jealous because they’re just admiring some traits of that person and that’s that. At the end of the era, If you ask your partner who they LOVE, the answer would still be you, so why being jealous of unnecessary issue. Avoid Jealousy Is also a piece of Relationship advice in couples. 2. Make an effort to woo each other. Being sweet and thoughtful plays a big role in maintaining a relationship afloat, and girls should learn to do this as well. After all, it is these things that got you two attracted to each other.  3. Being a couple doesn’t mean you may now go to bed together. Becoming sexually active as a couple is common. But there are responsibilities that you have to keep in mind once you pursue this route, and you two have to be in together. These include the risk of becoming pregnant, contracting a disease, and most of all, playing on ...

Soma simulizi fupi ya kusisimua "Usimdharau usiyemjua undani wake"

Image
Msichana mmoja alikuwa amempenda kijana mmoja mtanashati na mcha Mungu.. Malengo yao ilikua waje kuoana baada ya muda. Kijana huyu alijitoa sana kwa binti huyu hadi wenzie wakamuona mjinga, lakini ukweli ni kuwa alimpenda msichana yule kwa dhati. Alimtafutia kazi alipomaliza chuo, alimshauri kuhusu mipango ya maisha na alikua akimuombea kila alipopata nafasiya kuomba. Siku moja binti alikua anasherehekea siku yake ya kuzaliwa...hivyo akaalika marafiki zake, na watu wengine muhimu akiwemo mpenzi wake. Wageni wote walifika kwa wakati isipokua yule kijana alichelewa kidogo... Hivyo msichana akatumia muda ule ambao mpenzi wake hajafika kuwaeleza wageni namna yule kijana alivyokua wa muhimu kwake.. Akamsifia sana, akasema atamvalisha pete ya uchumba soon, na akasema siku hiyo ya birthday yake anategemea zawadi kubwa sana kutoka kwa huyo mpenzi wa nafsi yake. Baadae kijana akaingia na kuketi high table.. Muda wa zawadi ulipofika watu wakamtunza binti zawadi mbalimbali na kijana akawa wa mwis...

The Way You Can Know If Your Boyfriend Is Cheating On You

Image
The thing about cheating is that it’s always going to bring a lot of pain and devastation to a relationship. There’s just no denying how much it would hurt for you to know that your partner would willingly be unfaithful to you. A lot of the time, cheating is seen as one of the biggest killers of relationships, especially in this modern age. And part of the reason why it’s like that is that the pain that you feel from being betrayed is almost impossible to recover from. It’s that immense. But a lot of what makes that pain so unbearable is that it often takes the victims by surprise. When you suspect that your partner is cheating on you, then you can brace yourself for the truth as it unfolds before your eyes. You get to prepare for that pain. But when you are shocked by the news of infidelity, it can be a little overwhelming to deal with all of the flurries of emotions that are going through your body. You also want to make sure that you are never being made a fool out of. You want to m...

Wanawake Wengi Hufikiri Kuwa Wanaume Wote Wanatabia Hizi.

Image
Hakuna  maana moja ya kumuelezea mwanaume, ila kwa aliye mwanaume nadhani anaelewa nini maana ya kuitwa mwanaume, mara nyingi wanawake huwa wanaonekana wao ndio wanaonewa sana na wanaume na ni vigumu sana kujua manyanyaso ya wanaume sababu wengi huwa hawayaongelei, wanawake wengi huwaongelea wanaume kwa ujumla yaani kuwafananisha wote katika kundi moja. lakini kuna mtu na mtu kila mtu ana tabia zake na wanaume wana tofautiana, sina maana ya  kutetea haki za wanaume ila kuna fikira potofu kuhusu wanaume ambazo watu wanatakiwa kuzitoa akilini. Mwanaume halii. Mwanaume akionekana analia ataitwa dhaifu, ama hajakuwa bado mtoto, lakini ukweli ni kwamba hata wanaume wana hisia wana umia na wana mioyo kama wanawake, wao sio maroboti  japokuwa inachukuliwa kuwa mwanaume anayaeweza kuvumilia maumivu ndio jasiri bila kujua sio kila anaye lia kwa machozi ni mnyonge. Kuna usemi wa mwandishi Malorie Blackman alisema “Boys don’t cry, but men do.”  katika kitabu chake cha  Boy...

Hatua Za Kufanya Ili Uweze Kumpagawisha Mmeo Kitandani

Image
1.Hakikisha unamchezeachezea mpenzi wako kabla ya kumpeleka eneo la tukio (Kitandani). Muanze kwa kuinyonya midomo yake huku mikono yako ikiwa inapapasa shingo kwa nyuma na sehemu za mgongo wake, taratiibu shusha mikono yako ukihamia katika kiuno na kifua chake, chezea nywele zilizopo kifuani kwake kwa kuzivutavuta huku ukichezea ndimi yake kwa kuikunjakunja na ulimi wako. Shusha taratiibu mikono yako mpaka kwenye uboo wake upapase kimahaba (hapo utamuona akitoa pumzi nzito iliyokuwa imembana na kumuona sauti inaanza kubadilika 2💕Mchukue kumpeleka eneo la tukio; hakikisha unaifanya kipengele cha kwanza kwa muda wa dakika 10 hadi 15 baada ya hapo mchukue kumpeleka chumbani(eneo la tukio) huku ukiwa unamvuta mkono wake ukitembea kwa pozi kumpeleka chumbani (eneo la tukio) 3. 💕Nyonya shingo na chuchu zake; utakapo mfikisha chumbani kabla hujamuweka eneo husika mumbatie na uanze kunyonya shingo yake taratiibu huku ukishuka katika chuchu zake huku mikono yako ikiwa inampapasa sehemu mbali...

Jinsi ya kuboresha mahusiano na mpenzi wako aliye mbali

Image
Ni wazi kila mmoja anapenda kufurahia maisha akiwa karibu na mpenzi wake ,hakuna mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake halafu akapenda kuwa naye mbali. Wapendanao hupenda kuwa pamoja wakionana na kujadili mambo mbalimbali huku kila mmoja akitaka kumuonyesha mwenzake ni jinsi gani anavyompenda.  Zifuatazo ni baadhi ya njia ambazo iwapo utazitumia kwa umakini basi jua mahusiano yako yatahimili umbali na upendo wako na mpenzi wako utazidi kuwa madhubuti.  1. Kuwa na mawasiliano thabiti ya mara kwa mara. Mawasiliano ni moja ya nguzo muhimu sana katika mahusiano zinazofanya mapenzi kuweza kustahimili umbali. Wapenzi wanashauriwa kuwa na kawaida ya kuwasiliana mara kwa mara ili penzi liendelee kuwa na ustawi mzuri, kwani unapokuwa na utaratibu wa kuwasiliana na mpenzi wako mara kwa mara unaufanya ubongo wako usimsahau na kumfanya pia kutambua kuwa unampenda hivyo kujiweka mbali na vishawishi au kumpa nguvu ya kukabiliana navyo.  2.Usiwe na mawazo potofu juu ya mwenza wako...

Extraordinary Signs That He’s The One

Image
1.  You Have a Healthy Relationship Unfortunately, relationships aren’t all romance. They involve working together to build a healthy, mutually beneficial relationship. And that’s one of the signs he is the one.  2.  He Trusts you Trust is second only to communication as the absolute most crucial thing in a relationship. He has to trust you, and this means not being possessive and keeping jealousy to the bare minimum. 3.  And You trust him  This works both ways. If he trusts you, you must trust him. If you think he’s cheating or lying about something, he’s not the one. A little bit of jealousy can be natural; being controlling is not. 4.  You Communicate clearly  Talking can be embarrassing and awkward, but it’s essential. If he genuinely talks to you about how he’s feeling, what his goals are, what he thinks of you, and the relationship – he’s a keeper!  5.  You can be Honest  Communication is pointless if you discuss the weather or spo...

Mke Wa Mtu Sumu

Image
Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. Kuna siku mambo yanaweza kuwa si mazuri lakini siku nyingine mambo yakawa supa. Mwanamke wa kuoa lazima ajue hivyo.  Vifuatavyo ndiyo vigezo vitakavyomfanya mwanamke aolewe mapema   Hana tamaa na pesa. Katika maisha ya sasa mwanamke anayependa sana pesa ukikubali awe mkeo mtasumbuana sana. Kwa maana hiyo mwanamke ambaye utagundua hana tamaa ya pesa, kwamba ikiwepo, ikikosekana anabaki kuwa yeye, huyu ni ‘wife material’.  Hayupo tayari kukuona hauna amani. Mwanamke ambaye unaona kabisa unapokuwa na matatizo anaumia, anahaha kuhakikisha anakurudisha kwenye hali ya kawaida, huyo anafaa kuwa mkeo  Hupenda watoto  Utajuaje kama ana mapenzi na watoto? Iko hivi; katika uhusiano wenu ukiona ni mtu wa kupendapenda sana...

Yafahamu Mambo Yanayoshusha Thamani Ya Mwanaume Mbele Ya Mwananke

Image
Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya mwanamke. Hivyo, wanaume wote wenye khofu ya heshima na thamani yao kuanguka, ninawaletea mambo muhimu ambayo yanashusha thamani ya mwanaume mbele ye mwanamke: Hadaa na unyonyaji Baadhi ya wanaume ni wazuri sana katika kumnyonya mwanamke kwa kutumia kisingizio cha mapenzi. Wanazitumia mali zake na kuzinyonya kwa kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na maneno matamu ya mapenzi au kutengeneza simulizi za uongo kuhusu matatizo ya kipesa na kiuchumi. Mwanamke akigundua kuwa analaghaiwa, basi atamshusha thamani haraka mwanaume huyo na kuamua kujitenga naye. Na iwapo ataendelea kuwa naye, basi hasara na majuto yatakuwa juu ya mwanamke huyo. Wanawake wengi Mwanamke anapenda ahisi kuwa yeye ndiye mtu pekee katika maisha ya mwanaume. Kuwa na uhusiano na wanawake wengi wasiokuwa na ukomo, husababisha kat...

10 Signs That Your Girl Is Really In Love With You

Image
Even if she’s acting a little guarded, it doesn’t mean that she doesn’t love you. There are subtle indications that you have to be on the lookout for. Here are some signs that your girl is in love with you. Women will always tend to be more in touch with their emotions compared to boys. A lot of times, they also wear their hearts on their sleeve for all to see. However, some women remain to be timid even when they’re already in relationships. They tend to try to be guarded so that they don’t open themselves up to potential heartbreak. It’s just a defense mechanism to keep them from getting hurt. Executen’t worry about it. It’s nothing personal against you. Maybe she’s just had bad experiences with boyfriends in the past and she’s trying to approach things a little more safely than before. However, the signs of her love will be there if you learn to look for it. Even if she’s acting a little guarded, it doesn’t mean that she doesn’t love you. There are subtle indications tha...

Angalia jinsi mahusiano yanavyoweza kuanza wakati wowote pasipo kutarajia

Image
Unaweza kushangaa lakini ndio ukweli wenyewe kwamba upo uwezekano mkubwa kabisa wa kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia yake na imani yake. Katika makala haya tunaeleza kanuni za kimaumbile zinazoongoza mahusiano ya watu wawili ambao mara nyingi watu hao hukutana kwa njia ya nasibu.  Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, tunaambiwa na watalaam wa mahusiano kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo.  Lakini kabla sijaeleza zaidi, nikumbushie mambo makuu matatu tuliyoyaona katika makala ya nadharia ya mahusiano na mapenzi ambayo ndiyo yanayoanzisha mahusiano kwa maana ya kuwafanya watu wawili wapendane. Mambo hayo ni:  1)   Hisia   za   kimapenzi   au   tamaa .  Ingawa tamaa ina nguvu kubwa sana katika kuanzisha mahusiano, h...

3 Ways To Escape Friendzone

Image
1.  Don’t rush the process It’s very advisable to go very steady, but at the same time do not go too slowly. You are not the only one who sees her as a woman. You need a plan and processes. Align your strategy if you already have her as a friend. Having her as your friend has given you an inch than just a mere stranger she’s just met with because you know her for her. Use what she likes for her and not against her, but you can call it anything you want. Just do what she likes and avoid what she dislikes is on one of the greatest weapons, but don’t overdo it. Be careful, you need to have a say and a point as well. Don’t just go for a Yes every time she brings up something. Have a stand and mean it. Be the man of yourself and let her know it. 2.  First Impression Many times, the best thing to do is to create a kind of good impression. On the first day of seeing someone, make the best use of the first-day impression because you never knew what will happen later on. Life is what h...

Hii ni spesho kwa wanaopenda wake za watu!

Image
TUPO kwenye kipindi kigumu cha kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19. Tuzidi kuchukua tahadhari za kujilinda zinazotolewa na Serikali kama kunawa mikono kila wakati na kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima na zaidi ya yote tumuombe Mungu janga hili lipite! Tukirudi kwenye darasa letu la uhusiano, leo tunazungumzia wale ambao ni mabingwa wa kupenda wake za watu. Najua wapo wake za watu wanaopenda waume za watu, lakini leo nitajikita zaidi kwa wanaume. Najikita kwa wanaume maana najua wao ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakuwa wa kwanza kuwarubuni wanawake. Wanatumia vishawishi vyao, wanawahadaa wake za watu na kujikuta wameingia kwenye mtego bila kujijua. Hii inatokana na jinsi walivyo na mbinu za kushawishi. Mwanaume anamuanzia mbali sana mke wa mtu. Anajifanya kama vile hana mpango naye, anajifanya kuwa msaada. Anamshawishi kuwa rafiki wa kawaida, baadaye anatupa ndoano. Baada ya kipindi kirefu cha urafiki kupita, kutokana na uhuru ambao mke amejipa au kupewa...

Zifahamu Sababu Kuu 4 Zinazosababisha Kufa Kwa Mahusiano Mengi

Image
Migogoro ni jambo la kawaida katika uhusiano wa kimapenzi au ndoa. Na ndiyo maana hata kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi au ndoa si jambo la kushangaza katika jamii. Mahusiano hayavunjiki hivi hivi, zipo sababu. Ukizifahamu sababu za kuvunjika kwa mahusiano, kama wewe ni mwathirika wa kuvunjika kwa uhusiano utapona haraka na kujifunza kupenda tena. Kwako wewe ambaye uhusiano wako na mwenzako haujavunjika, au labda hata hujawahi kuingia katika uhusiano, unapozifahamu sababu za kuvunjika kwa uhusiano itakusaidia kufahamu jinsi ya kuenenda unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi au hata ndoa, kwa mustakabali mwema wa uhusiano wako na mwenzako. Kati ya shughuli nzito ambazo huwakumba watu walio katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa ni kuhakikisha kuwa mahusiano yao yanakuwa imara. Ni shughuli yenye changamoto nyingi kwani huhitaji uwiano, maana mwanamume na mwanamke wameumbwa tofauti na kila mmoja ana matakwa na matarajio yake. Sababu za kuvunjika kwa uhusiano zinaweza kuwapo nyingi na k...

Nina Mika 20 Sijawahi Fanya Mapenzi ila Nahisi Bikira yangu Haipo Je ni Kawaida?

Image
Naitwa Nancy Naishi Kijitonyama , mimi ni Msichana na Miaka 20 nimekuwa nikijitunza kwa muda mrefu ili kutunza Bikira yangu kwa mwanaume atakaye nioa mungu akijalia ...so sijawahi fanya mapenzi na mtu yoyote japo napata vishawishi vingi....Saa zingine nikisikia hamu huwa najisugua kwa vidole sehemu zangu ili kutoa hamu.... Sasa hivi karibuni nimehisi huku chini hapako tight kama zamani hata nikiingiza kidole kinaingia bila shida sasa naogopa je Bikira yangu imeshatoka au ni kawaida? na je kujishika kwa vidole sehemu hizo kunaondoa bikira? Please naomba ushauri.

The Difference between the Girls I’ve Dated and the Woman I’ll Marry

Image
The differences are massive but true! Don’t judge me when you read this article. I am writing this article just so that women can have an idea about how men would treat women they want to make their Mrs. I want you to know how we treat women we date differently from the one we would marry. I have dated numerous women; it ended because we weren’t compatible. I also have many female friends; I have never been a womanizer. To this day, I have respected every woman in my life. You might think that it’s the same thing but let me be brutally honest, it’s not. We men are shallow sometimes and this is just about as pathetic as we get. Most men will not admit it but trust me when I say this, most of this will be true for 90 percent of the men out there. If you have been unfortunate enough to be with the wrong men over and over again, you will definitely see a pattern here. 1. My wife should look jaw dropping every time we head out If she looked particularly good or had her hair done...

Wanawake Wanaojiona Warembo Sana Uishia Kusimamia Harusi za Wenzao Wengi Hawaolewi

Image
Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.  Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo,sababu kuu zinazofanya wasiolewe ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng'ambo anataka mwanaume tajiri awe mtanashati sana.  Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya hanasa,wanaume wengi ushtuka na kuishia ku hit na kusepa.  Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na tamaa.

Things You Should Know When Struggling To Find Love

Image
These are some essential things that you need to pay attention to; 1.  Enjoy your freedom You don’t have to worry for now. You need to enjoy the freedom while it lasts. You will always spend the rest of your life with your soulmate. So why would you worry yourself over something that’s predestined for you? 2.  Love is within you Finding love can be funny, you know? Why are you stressing yourself over something that’s already with you? The way that love is designed, or let me say you cannot give what you don’t have. The first thing that you need this time is to love yourself first. Then you will be ready to love another person. 3.  Focus on yourself You don’t have to keep waiting for your love to appear to you. You will have to take care of yourself for now. Obviously, finding someone to love shouldn’t dismantle your life’s schedule at all. You don’t need to direct all your energy and vibes toward that. While you are single, there are tons of things to enjoy while it lasts...

Uliye na Mpango Wa Kuoa Unayatambua Haya??

Image
Kwa wale ambao wanataka kuoa na kuolewa. hata wewe ambae umeoa na kuolewa inakuhusu. Kwa nini unapingana na ndoa? Nafahamu unapingana na ndoa, lakini mimi bado nahitaji kuolewa. Kama unaweza nipe baraka zako. Tafakari juu ya hilo. A fool and his cool are soon parted. Hivyo ndivyo ndoa itakavyokuwa.  ni wasiojua tu hufikiria katika muda wa halali, vinginevyo, Upendo peke yake unatosha. Na mimi sipingani na ndoa– iam for love. kama mapenzi yamekuwa ndio ndoa, vizuri; lakini usitumaini kuwa ndoa italeta mapenzi. haiwezekani. Upendo unaweza kuwa ndoa. Unatakiwa ufanyie kazi ya ufahamu  kubadilisha  upendo kuwa ndoa. Kuna hamu kubwa na matamanio ya  mapenzi, lakini upendo unahitaji ufahamu. na hapo tu inapofikia kwenye kilele cha juu– na hicho kilele ndio ndoa yenyewe. haiwezi kuingiliwa na sheria. ni mioyo miwili  imepatana na kupendana. ni kazi ya watu wawili– hio ndio ndoa. Lakini watu wanajaribu upendo kwa sababu hawana ufahamu…Hamu yao ni nzuri, lakini  upe...